Ofisi ya Mkaguzi Pemba
Ofisi ya Mkaguzi Pemba inahusika na utekelezaji wa majukumu yake kama ilivyo Ofisi Kuu, ikizingatia miongozo na taratibu zinazohusiana na kazi zake.Ikiwa na mikoa miwili—Kaskazini Pemba na Kusini Pemba .
Ofisi inahakikisha utekelezaji wa shughuli zake kwa ufanisi katika maeneo yote mawili.
Majukumu ya Ofisi ya Mkaguzi Pemba
- 1Kusimamia ubora wa shughuli zote za ukaguzi Pemba.
- 2 Kuziunganisha ofisi za Mikoa ili kufanya kazi kwa pamoja.
- 3Kumshauri Mkaguzi Mkuu katika kuimarisha utendaji wa Ofisi.
- 4 Kuandaa ripoti kila kota na kuwasilisha katika Bodi ya Ushauri.
- 5Kufuatilia stahiki za wafanyakazi wa ofisi ya mkaguzi mkuu Pemba.
- 6Kuratibu shughuli za mafunzo zinazofanywa na Ofisi.
- 7Kufanya ufuatiliaji na tathimini ya utendaji kwa wafanyakazi na mienendo yao.
Mawasiliano
Chake chake
Mtaa wa Kichungwani
Jengo la Ofisi ya Elimu Wilaya Chake Chake
S.L.P 2759
ZANZIBAR
Barua pepe : mkaguzielimupemba@ocie.go.tz
Simu: 0652 220 584
: 0652 220 670