Profile Photo
Ndg: Maimuna Fadhil Abass
Mkaguzi Mkuu wa Elimu-Zanzibar

Nina furaha kubwa na shukrani
kuwakaribisha kwenye tovuti yetu.
Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu Zanzibar
(OCIE)

Kuhusu Taasisi

Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu Zanzibar ni Taasisi ya Serikali chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar iliyoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Kuanzisha Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu Namb. 10 ya mwaka 2018. Ofisi hii hutumia ufupisho wa Kiengereza OCIE (The Office of Chief Inspector of Education).
Awali ilikuwa Idara ya Ukaguzi wa Elimu Zanzibar. Ili kukidhi vyema dhima ya Ofisi hii, ilibadilishwa kutoka Idara ya Ukaguzi na kuwa Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu Zanzibar mwaka 2011.
Ofisi hii imeanzishwa kwa malengo ya kuhakikisha kuwa elimu inatolewa kwa mujibu wa sera, sheria na miongozo ya Serikali na taasisi zinafundisha kwa mujibu wa mitaala iliyoidhinishwa kwa ngazi husika. Vile vile kuhakikisha kuwa miiko na maadili ya kazi ya Ualimu inafuatwa, kushauri juu ya viwango bora vya uendeshaji wa skuli, ufundishaji na ujifunzaji, kuwasaidia wanafunzi pamoja na kutumia zana sahihi za upimaji.

Matangazo

  • JUNE 15 2026

    Mafunzo ya Muongozo wa Ukaguzi wa Vyuo vya Ualimu kwa Wakaguzi wa Elimu wa Mikoa ya Unguja

    Kiembe Samaki TC

  • JUNE 13 2026

    Mafunzo ya Muongozo wa Ukaguzi wa Vyuo vya Ualimu kwa Wakaguzi wa Elimu wa Mikoa ya Pemba

    Michakaeni TC

  • MAY 13 2026

    Uwasilishwaji wa Ripoti ya Tathmini ya Ukaguzi ya Mwaka 2024/2025 Mkoa Kaskazini Unguja

    Afisi ya Elimu Wilaya Kaskazini "B" , Mkwajuni

    Tazama Uwasilishaji wa Ripoti
  • Ukaguzi wa Skuli

    Regulatory

    kuangalia mazingira salama, mtaala unaofaa kwa watoto wadogo, na mbinu shirikishi za ufundishaji.ili kuhakikisha msingi mzuri wa kusoma, kuandika, na kuhesabu

    Ngazi ya Maandalizi
    Quality Assurance

    Utekelezaji wa mtaala, ushiriki wa wanafunzi, uwiano wa walimu kwa wanafunzi, na upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia ili kuhakikisha watoto wanapata maarifa yatakayowasaidia.

    Ngazi ya Msingi
    Advisory

    Ubora wa ufundishaji, ufanisi wa walimu, matumizi ya teknolojia, na usimamizi wa nidhamu kwa maandalizi ya elimu ya juu pamoja na soko la ajira

    Ngazi ya Sekondari

    Habari na Matukio

    13 June 2026

    Dkt.Mpango Primary School, Pemba

    Wakaguzi wa Elimu na Washirika wa Vyuo vya Ualimu Pemba Wanolewa Juu ya Mwongozo Mpya wa Ukaguzi . ...

    Soma zaidi

    15 May 2026

    Baraza la Wawakilishi, Zanzibar

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhamed Mussa akiwasilisha Bajeti ya Wizaya ya Elimu ...

    Soma zaidi

    13 May 2026

    Afisi ya Elimu Wilaya Kaskazini B, Unguja

    Uwasilishwaji wa Ripoti ya tathmini ya Ukaguzi ya Mwaka 2024/2025 Mkoa wa Kaskazini Unguja.

    Soma zaidi