UTOAJI WA TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU UTAKUWA ENDELEVU

Imewekwa: 16 April, 2025

Tuzo ya Taifa

Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inalenga kuendeleza vipaji na kuchochea ubunifu miongoni mwa waandishi nchini. Tukio hili limepambwa na viongozi mbalimbali wa serikali na wanahabari.